Namna ya kumsaidia mkeo awahi kufika kileleni

A,aleykum warahmatullah wabarakatu, Naam karibuni katika somo hili adimu kabisa sababu ni somo lenye faida kubwa sana kwa wale wenye kupenda kujifunza baadhi ya mambo leo tutaangalia namna ya kumfikisha araka mkeo kileleni vile atakavyo tuangalie sasa hatua muhimu za kuzingatia.


(1)USIJALI UKUBWA WA UUME AU UDOGO WA UUME.

Ukubwa na udogo wa uume hili limekuwa ni tatizo wengi huumia kutokana na maumbile haya haswa wale wenye maumbile madogo.
Iko hivi kila mwanaume huona uume wake ni mfupi kutokana na mtazamo wake na ni wazi unapoona uume wako ni mfupi bas ni mfupi haswa tena ni mfupi kuliko unavyofikirila kwa kawaida size ya uume ni sm 10.5(nchi3.5)kutoka sehemu yake ya awali kabisa.

Hata hivyo wastani umbo la kawaida la wastani ni sm9.5 lakini kipimo hiki hakina maana na vipo vitu ambavyo vinaweza kufanya uume unywee kwa ncha mbili au zaidi kama vile baridi au kuogelea. Lakini haumaniishi kuwa na uume mkubwa basi utamfikisha mwenzio kileleni au kuwa na uume mfupi hautomfikisha mwenzio kileleni sasa nini ufanye?



(1)TENGENEZA MAZINGIRA

Mtengenezee mazingira ya msisimko.Wanawake hawasisimkwa kimwili tu bali husisimkwa kiakili na kimwili hivyo mtengenezee msisimko wa kifikra Msisimko wa kimwili na fikra hivyo ni vitu viwili tofauti lakini vinatakiwa vyote viwe ni vyenye kwenda sawa.
Weka mazingira yani hali inayovutia kimapenzi kitanda kizuri ,godoro zuri nasehemu iwe tulivu itakayomfanya ajisikie kulala na wewe.


(2)MCHEZEE

Ili kumfanya mke wako ajisikie na afike kileleni mwanamke huitaji muda mrefu kuchezewa kuliko mwanaume hivyo fahamu sehem sahihi ambayo unapaswa kumshika zinazompa ashki na sehem huwa zinatofautiana kwa wanawake ukiona anafurahi anachopenda endelee zaidi.



MUDA

Hapa ndipo wengi hukosea kitaalam mwanamke huchelewa kusisimka kuliko mwanaume hivyo hapa wewe mwanaume unatakiwa utoe muda zaidi yani uendelee kumchezea zaidi kwa kumshika sehem ambazo yeye hufurahia kuwa makini na sehem hizo kila siku na hakika wewe utakuwa mfalme wake kila siku na kumfanya kutokukusahahu na kikubwa kufurahi kila unaookutana nae

Japo uume wako ni mfupi au mrefu usipoyafanya hayo utamuacha na maumivu utafika wewe tu kileleni katika kila mchezo.

Namna ya kumsaidia mkeo awahi kufika kileleni Namna ya kumsaidia mkeo awahi kufika kileleni Reviewed by Cadotz media on February 01, 2019 Rating: 5

No comments

Ndugu ahsante kwa kuitembelea Cadotz, Endelea kufurahia huduma zetu pia Tunakusogezea Cadotz uchague unachokitaka katika menyu zetu.
Bofya chini

MIZIKI | MAPENZI | AFYA