Sehemu zenye hisia zaidi kwa Mwanamke



Habari yenu wakuu,
Nina siku kibao sijaja hapa MMU kusabahi, hivyo nmeona leo nije tupeane maujanja ya kuwafurahisha Viumbe wetu waliotoka ubavuni mwetu. Tujaribu kuziangalia Baadhi ya Sehemu ambazo zitamsisimua Mwanamke.

Zipo nyingi, mi nachokoza mada tu then wewe utaongezea. Moderator kama ataona ina maneno makali basi aipeleke kule kwenye jukwaa kuu.

Tendo la ndoa ni sanaa, na sanaa ni ufundi wa kuwasilisha mawazo yaliyo katika fikra za mwanadamu.

Hivyo basi kwa kuwa tendo la ndoa ni sanaa inatakiwa ufundi na ubunifu ili kuweza kufurahia tendo hili.

Ufundi huhitaji mandhari ya kuoneshea na uhitaji hadhira ya kufurahia, ambapo fanani huhitaji kufahamu haswaa hadhrira yake inataka nini. Yafuatayo ni maeneo 12 yenye msisimko ambapo kama mwanaume utayashughulikia ipasavyo bila shaka mwanamke atajiona mwenye bahati sana.


1. MIDOMO YAKE.

Tumia midomo yako,ulimi wako na meno yako kuchezea mdomo wake wa juu na wa chini na umbusu kwa msisimko mkubwa. Kunyonya ulimi pia huchangia kuongeza kasi ya mwanamke kwenda kileleni.(usafi wa kinywa kwa wote wawili ni muhimu hapa).


2. UKE NA KINE"".

Kuna namna mbili ya kucheza na mandhari hii, kwanza unaweza kutumia ulini na lips zako kutembelea hapa (kwenda chumvini).
Namna ya pili ni ya wale wasio na ujasiri wa kwenda chumvini, Tumia kidole chako cha kwanza cha mkono wa kulia polepole pitisha katika mfereji wa uke ukianzia chini (kutokea jirani na mlango wa nyuma) ukipandisha juu, fanya hivyo mara kadhaa.
Kutegemea umbo lako na urefu, unaweza kuchanganya zoezi hili na kunyonya matiti yake na hapo utaona upumuaji wake ukibadilika na majimaji yakiongezeka kwenye uke. Kwa kawaida kinembe cha mwanamke kimejificha lakini ukifanya vizuri zoezi la hapo juu na chenyewe kama uume kitajaa damu na kuinuka.


3. MATITI YAKE.

Matiti yake ni sehemu muhimu sana kwa mwanamke kama ilivyo kwa uke wake. Utampatia raha kamili mwanamke kama utayapapasa papasa na kuyatomasa tomasa matiti yake, utayaminyaminya kwa upole wa kimahaba, utayalambalamba haam haam na kuyanyonya nyonya bila kuyaumiza na meno.


4. MASIKIO YAKE.

Wanawake wengi hupata burudani masikio yao yanapolambwa au kunyonywa au kupigwa busu. Tembeza ulimi wako kama unaingia ndani ya sikio, utaona anavosisimka na vipele kumtoka.


5. SEHEMU YA NYUMA YA SHINGO

Tumia ulimi wako kulamba sehemu ya shingo yake kwa mwendo wa kutekenya tekenya. Tumia ncha ya ulimi kutekenya tekenya kwa kufanya mduara na kuendelea kuchora mduara na kurudiarudia, kisha busu mara kadhaa.


6. SEHEMU YA NYUMA YA GOTI.

Sehemu ya nyuma ya goti ina miishio mingi ya mishipa ya fahamu na utashangaa jinsi ammbavyo mwanamke atapata burudani kwa kuishughulikia vyema sehemu hii.


7. SEHEMU YA NDANI YA MAPAJA.

Tumia ubapa wa kiganja chako kupapasa kwa ulaini sehemu ya ndani ya mapaja yake,fanya hivyo juu juu huku ukimbusu busu mapaja yake.


8. MAKALIO YAKE.

Wanawake wengi wanapenda makalio yao yachezewe kimahaba, anza kwa kuyapapasa papasa, endelea kwa kuyaminya minya kwa kutumia vidole, kisha uwe kama unayachapa kibao hivi (usimuumize). Yabane bane na mikono yote miwili, yapikinye pikinye kimahaba. (ila angaia usifike mbali kwai kigoma ndiyo mwisho wa reli)


9. MIISHO YAKE.

Miguu yake imejaa miishio ya mishipa ya fahamu kiasi ambacho baadhi ya wanawake wanaweza kufika katika kilele cha burudani ya tendo la ndoa kwa miguu yao kusuguliwa na kupapaswa. Tumia kila ujanja ulionao kuchezea miguu yake .


10. USO WAKE.

Mwanamke atafurahi sana utakaposhika uso wake katika hali ya mahaba na huku
ukitabasamu. Wakati ukifanya hivyo unaweza kumbusu midomo yake,mashavu na kwenye paji la uso.


11. HIPS ZAKE.

Sehemu hii ni moja ya sehemu ambazo zitamfanya mwanamke ajisikie amekubalika kabisa iwapo utashika wakati wa tendo la ndoa. Mkiwa mmesimama hata kabla ya game kuanza, simama nyuma yake sambaza mikono mwilini mwake, zaidi cheza na hips zake.


12. G-SPOT

Sehemu hii iko ndani ya uke ambayo inapata hisia kubwa sana ikibonyezwa
bonyezwa,sehemu hii ipo sentimeta 5 kutoka mlango wa uke na iko katika ukuta wa juu wa uke.

Sehemu zenye hisia zaidi kwa Mwanamke Sehemu zenye hisia zaidi kwa Mwanamke Reviewed by Cadotz media on February 01, 2019 Rating: 5

No comments

Ndugu ahsante kwa kuitembelea Cadotz, Endelea kufurahia huduma zetu pia Tunakusogezea Cadotz uchague unachokitaka katika menyu zetu.
Bofya chini

MIZIKI | MAPENZI | AFYA