Namna ya kuzuia kukojoa mapem wanaume

1. Mazoezi: Kufanya mazoezi, mwili weny afya nzuri daima hufanya kazi vizuri, kw hiyo kitu rahisi cha kufanya ni kujenga tabia ya kufanya mazoezi ambayo husaidia kukujengea afya njema na kukupa mzunguko mzuri wa damu. Kam una mwili wenye afya basi inaweza kukusaidia kwa namna ya kifikra ambaz huchangia kwenye suala zima la kuwahi kufika kileleni. Hii hutokana na kuongez kujiamini na kujihusudu
2. Vuta Pumzi ya kutosha
Pumua vizuri na kikamilifu, kiungo chochote cha mwili huhitaji nguvu kamili ili kufanya kazi na ndivyo ilivyo kwa habari ya viungo vya uzazi! Unapopumua vizuri na kwa ukamilifu, kiungo hiki hupata nguvu za ziada. Jaribu kupumua kwa ufasaha ili mwili uweze kupata hisia kabla ya kuanza kufanya msuguano. Kwa mfano unapofanya mapenzi inapofikia hatua unataka kukojoa stopisha kufanya na vuta pumzi ya kutosha
3. Mazoezi ya kukojoa mkojo
Wakati unapokwenda kukojoa mkojo, fanya yafuatayo kojoa kwa sekunde mbili then stopisha mkojo, rudia tena kukojoa mjojo kwa eskunde tatu alafu stopisha tena. Fanya mara kwa mara kwa muda wa siku 14 hii pia yasemekana imesaidia baadhi ya watu LAKINI wa watu wenye tatizo la kibofu cha mkojo usijaribu hiii, may cause more problems
4. Team work
Mshirikishe mwenzako kikamilifu, kuridhika kimapenzi ni tukio ambalo wote wawili mnaridhika kikamilifu. Ili kujifunza kujizuia kufika kileleni haraka, ni vizuri kuwasiliana na mwenzi wako wa kimapenzi. Anaweza akakusaidia kushinda tatizo hili la kiaibu, kila unapohisi unataka kukojoa mapema, sema ‘ngoja’ na usitishe kwanza shughuli zote kwa muda kidogo
5. Maandalizi ya Kisaikolojia
Maandalizi kifikra ni mabaya sana, kwa mfano upo ofisini na unajua jioni unakwenda kufanya mapenzi basi jitahidi usiwaze hivyo kabisa. Hii ni mbaya saya maana hormones zinasogea karibu sana unaweza hata kuishia kwenye mapaja ya mwenzi wako. Hata kama una miadi na mwenza wako au unamwndaa mpenzi wako chukulia kama ni kitu ca kawaida sana. Au ukisha mseti mwenza wako jitahidi kusahau kama unakwenda kucheza huo mchezo siku ya hiyo.
6. Movie
Usiangalie movie za mapenzi yenye ‘style’ zenye kuchochea kufika kileleni haraka. Ungaliaji wa movie za namna hii huchochea zaidi kupandisha ashki na mukari wa kufanya mapenzi ambapo unapokutana na mwenza hata kuingiza ni shida na huishia kwenye mlango wa uzazi wa kike. Hii ni kwa sababu kuongeza ari ya kuwaza tendo la ndoa pia inaongeza msisimko kiasi kwamba ukimgusa mpenzi wako tayari umekwishaachia hata kabla ya kuingiza.
7. Thoughts Diversion
Hii techniques inamaanisha kuhamisha mawazo, kwamba unapofanya mapenzi inapofikia hatua unataka kuachia stopisha alafu hamisha mawazo yako kabisa kwenye hilo tukio. Unaweza kufikiria kitu kingine tofauti kabisa mfano unaweza kuwaza watu wanaokudai fedha na kadhalika, kuwaza kitu kingine cha kipumbavu ambacho kitakuondoa kwa muda kwenye eneo hilo just for one minute. Then unaweza kuendelea kama ile haali ya kukojoa imepotea, ni ngumu sana lakini just try
8. Style za Mapenzi
This is another killer for early ejaculation. Kuna baadhi ya style za mapenzi inapendekezwa kufanya baadha ya shoti ya kwanza ndo utumie. Kwa mfano unapoanza kufanya na style ye mbuzi kagoma au chuma mchicha hapo unatafuta balaaa aisee hasa kwa wale ambao wameadhirika na tatizo la kukojoa mapema, hii ni kwasababu style hiyo inakuwa na msisimko wa hali ya juu sana ikimabatana na constriction kwa wote wawili na haitakuchua hata dakika ushaachia wazungu weupe. Hii ni kwasababu shoti ya kwanza huwa ipo karibu sana uilinganisha na shoti ya pili, tatu na kuendelea.
Natumaini kwa leo hizi technieque nane zinaweza kukusaidia kwa namna moja au nyingine
Namna ya kuzuia kukojoa mapem wanaume Namna ya kuzuia kukojoa mapem wanaume Reviewed by Cadotz media on December 26, 2018 Rating: 5

No comments

Ndugu ahsante kwa kuitembelea Cadotz, Endelea kufurahia huduma zetu pia Tunakusogezea Cadotz uchague unachokitaka katika menyu zetu.
Bofya chini

MIZIKI | MAPENZI | AFYA