ZIPI NI Ishara za uhakika za mchumba mwenye mapenzi ya kweli na wewe na anayekupenda kweli

Ishara za uhakika za mchumba mwenye mapenzi ya kweli na wewe na anayekupenda kweli

Je mchumba wako anakupenda kweli?
Zifuatazo ni ishara za mchumba wa kweli
1. Anakuheshimu na anakufanyia mambo yote kwa heshima
2. Mda wote uko kichwani kwake/anakuwaza wewe
3. Anakusikiliza na anafanya unachokisema
4. Anaweza kukushika bila kuogopa watu. mfano, mkono mkiwa sehemu zenye watu wengi
5. Anakujali
6. Anataka uipende na ushirikiane na familia na ndugu zake
7. Anaweza kuomba msamaha
8. Akiwa anaongea badala ya kusema nita…. anasema tuta…. mfano, tutafanya hivi badala ya nitafanya hivi
9. Anakuweka kwenye mipango yake ya baadae
10. Anasema 'SASA'. (Mfano SASA tufanyeje?) Anatumia neno sasa kukupa nafasi ya kutoa mawazo yako
ZIPI NI Ishara za uhakika za mchumba mwenye mapenzi ya kweli na wewe na anayekupenda kweli ZIPI NI Ishara za uhakika za mchumba mwenye mapenzi ya kweli na wewe na anayekupenda kweli Reviewed by Cadotz media on November 24, 2019 Rating: 5

No comments

Ndugu ahsante kwa kuitembelea Cadotz, Endelea kufurahia huduma zetu pia Tunakusogezea Cadotz uchague unachokitaka katika menyu zetu.
Bofya chini

MIZIKI | MAPENZI | AFYA