Jîfunze MAANA YA MAPENZI na ishara zake

♥♥♥MAANA YA MAPENZI

Mapenzi Ni Hisia Kali Za Upendo Ambazo Humfanya Mtu Kujisikia Furaha Na Amani Ktk Moyo Wake. Vilevile Mapenzi Yapo Ktk Matabaka Mawili, Tabaka La Kwanza Ni Mapenzi Ya Yanayohusisha Jinsia Mbili Tofauti Au Moja Kwa Dhamira Ya Kuridhishana Kingono. Tabaka La Pili Ni Mapenzi Yanayohusisha Jinsia Mbili Tofauti Au Jinsia Moja Kwa Dhamira Ya Urafiki Na Sio Kingono…


 ♥♥♥Ishara za uhakika za mtu yeyote anayekupenda kimapenzi hata kama hajakwambia

Utajuaje kama unapendwa?
Zifuatazo ni ishara za mwanamme au mwanamke anayekupenda hata kama hajakwambia

1. Anakua na aibuaibu unapokua na yeye
2. Anakuitaita bila sababu
3. Anakuangalia machoni sana
4. Anakua anafanya mambo tofauti unapokuepo na usipokuwepo
5. Anafurahi sana unapomsifia
6. Anakua kama anapata kigugumizi unapokua unaongea nae hasa mkiwa wenyewe
7. Anakusaidia mambo yako. mfano kazi
8. Anakumbuka siku zako za muhimu mfano Tarehe ya kuzaliwa.
9. Anakufanyia mambo tofauti na anavyowafanyia wengine.
10. Anabadilika muonekano wa nje. Mfano anaanza kujipenda, kuvaa vizuri


♥♥♥Mambo ya kufanya kuzuia watu wasiingilie mapenzi yenu

Sio mbaya kwa marafiki wa karibu au ndugu na jamaa kufahamu kushirikiana nanyi katika mapenzi yenu kama vile wakati wa sherehe au msiba. Pia sio mbaya kujuliana hali na kutambulisha mambo ya msingi yanayoendelea katika mahusiano yako wewe na mpenzi wako. Hata hivyo kuna wakati watu wengine wa pembeni, wawe majirani, ndugu, wazazi au marafiki wanaweza kuwa ‘sumu’ ya mahusiano yako, hasa pale unapowategemea sana kutoa msaada, maoni au maelekezo katika maisha yako ya mapenzi. Makala hii inaeleza mambo ya msingi unayoweza kufanya ili kupunguza uwezekano wa rafiki, ndugu, jamaa, au wazazi kuwa ‘sumu’ ya mapenzi yako…


♥♥♥Ushauri wa mapenzi

Kuachwa kusikupe Stress, Haijalishi umeachwa mara ngapi, Jali kile ulichojifunza kutoka kwa mtu aliyekuacha.
Kila anayeingia maishani mwako ana Syllabus mkononi mwake, Every topic anayokufundisha ichukulie serious huwezi jua mtihani wako utatungwa kwenye Topic ipi.




Jîfunze MAANA YA MAPENZI na ishara zake Jîfunze MAANA YA MAPENZI  na ishara zake Reviewed by Cadotz media on November 24, 2019 Rating: 5

No comments

Ndugu ahsante kwa kuitembelea Cadotz, Endelea kufurahia huduma zetu pia Tunakusogezea Cadotz uchague unachokitaka katika menyu zetu.
Bofya chini

MIZIKI | MAPENZI | AFYA